Skip to main content
job

MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II (QUANTITY SURVEYOR GRADE II)

Various Government MDAs (via PSRS)

Location
Dodoma, Tanzania
Workplace
onsite
Engagement
Full-time
Closing date
6 August 2026

About this opportunity

Tangazo la kazi kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs linaomba maombi ya Watanzania wenye sifa kwa nafasi za Mkadiriaji Ujenzi Daraja la II.

Responsibilities

  • Kuandaa ratiba ya kazi, gharama za ujenzi (BOQ) na hati za mikataba.
  • Kuandaa makisio ya gharama za miradi ya ujenzi.
  • Kukusanya takwimu na kufanya uchunguzi wa ukarabati wa miradi ya ujenzi.
  • Kuandaa bajeti ya miradi ya ujenzi.
  • Kuandaa taarifa za uthamini wa miradi ya ujenzi.
  • Kwa kushirikiana na Mkadiriaji ujenzi kuandaa taarifa fupi za ujenzi wa miradi.
  • Kushughulikia masuala yote ya utawala wa fedha za miradi, kuandaa hati/vibali maalumu vya ujenzi na mikataba.
  • Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Requirements

  • Kuajiriwa wahitimu wenye Shahada/Stashahada ya juu ya Uhandisi kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali katika fani inayohusiana na Ukadiriaji Ujenzi (Quantity Surveyor).
  • Awe amesajiliwa na Bodi inayosimamia taaluma hii ya Ukadiriaji Ujenzi (AQRB).

Eligibility

  • Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • Asizidi umri wa miaka 45.
  • Wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na kuainisha ulemavu wao katika mfumo wa kuombea ajira.

Benefits or funding

  • Ngazi ya mshahara: TGS.E

Apply on the official source

Ajira Lounge does not collect your application for this listing. Check the destination address before sharing personal information.

Open official application page

Something wrong with this listing?

Report suspected fraud, expired information, or an unsafe application method.